
Methali za kikwetu
by H. D. Salla
Ksh 550
1
In stock · Ships within 2–4 business days · M-Pesa on delivery available
Description
Hun si mkusanyiko holela wa methali, bali mkusanyiko makini uliozingatia umuhimu, matumizh maadili pamoja na maudhui yanayopaswa kuzingatiwa katika kufundisha watoto na vijana katika dunia ya ho. Methall hizi 2200 ndizo methali maarufu na za nmhimu zaidi katika lugha ya Kiswahilili. Pia maana zake zimeandaliwa kwa usanifu rakubwa na zinasadifu hall na mazingira ya leo, lengo likiwa ni kumpa msomaji, si tu maneno an sentensi za kale bali jumbe zinazoweza kugusa maisha yake moja kwa raoja.
Language
Not specified
Not specified
Publisher
Africa Proper Education Network/Mbiu Press
Africa Proper Education Network/Mbiu Press
Genre
Educational/Curriculum Books
Educational/Curriculum Books
ISBN
9789987701292
9789987701292