Maziwa ya kuku cover

    Maziwa ya kuku

    Ksh 390
    1
    In stock · Ships within 2–4 business days · M-Pesa on delivery available
    Description

    Wakati Mfalme wa Bahari alipougua, mganga wa baharini aliamini kwamba dawa yake ni maziwa. Viumbe vya baharini walidhani atakayewapatia maziwa kwa urahisi ni kuku. Hivyo wakamtuma Kasa kwenda nchi kavu kutafuta "Maziwa ya Kuku." Je, atafanikiwa?Hadithi hii ya watoto ilishika nafasi ya kwanza katika Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, 2025.

    Language
    Not specified
    Publisher
    Africa Proper Education Network/Mbiu Press
    Genre
    Children readers/storybooks
    ISBN
    978-9912-752-70-2
    Where to Buy