Home / Catalog / Juliasi Kaizari
    Juliasi Kaizari coverSale

    Juliasi Kaizari

    Ksh 500Ksh 600
    FORMAT
    Print
    1
    In stock · Ships within 2–4 business days · M-Pesa on delivery available
    Description

    Juliasi Kaizari ni tafsiri mashuhuri ya Kiswahili ya tamthilia ya Kiingereza Julius Caesar iliyoandikwa na William Shakespeare na kutafsiriwa na Mwalimu Julius K. Nyerere. Tamthilia hii inaelezea mchezo wa kisiasa, njama za mauaji ya kiongozi wa Roma Julius Caesar, na migogoro ya madaraka, usaliti, na uongozi.

    Language
    kiswahili
    Publisher
    Mkuki na Nyota
    Genre
    —
    Where to Buy