Dhulma
Ksh 2,200Ksh 2,200
FORMAT
Print
1
In stock · Ships within 2–4 business days · M-Pesa on delivery available
Description
Dhulma ni tafsiri ya Kiswahili ya riwaya maarufu ya Kiingereza By the Sea iliyoandikwa na Abdulrazak Gurnah na kutafsiriwa na Dr. Ida Hadjivayanis. Riwaya hii inahusu Saleh Omar, mzee mkimbizi kutoka Zanzibar aliyewasili nchini Uingereza akiwa na sanduku dogo tu, na migogoro yake ya zamani inayomkuta tena kupitia kumbukumbu, usaliti, na mahusiano ya kifamilia.
Language
kiswahili
kiswahili
Publisher
Mkuki na Nyota
Mkuki na Nyota
Genre
Educational/Curriculum Books
Educational/Curriculum Books
ISBN
9789987085453
9789987085453