Peponi
Ksh 1,300Ksh 1,500
FORMAT
Print
1
In stock · Ships within 2–4 business days · M-Pesa on delivery available
Description
Peponi ni tafsiri ya Kiswahili ya riwaya maarufu ya kiingereza Paradise iliyoandikwa na Abdulrazak Gurnah na kutafsiriwa na Ida Hadjivayanis. Riwaya hii inamfuatilia kijana anayeitwa Yusuf katika karne ya 20 huko Afrika Mashariki, ikielezea maisha yake, biashara za msafara, athari za ukoloni, na mabadiliko ya kijamii na kiutamaduni katika ukanda huu.
Language
kiswahili
kiswahili
Publisher
Mkuki na Nyota
Mkuki na Nyota
Genre
Educational/Curriculum Books
Educational/Curriculum Books
ISBN
9789987449866
9789987449866