Kiguu na Njia
Ksh 900Ksh 900
FORMAT
Print
1
In stock · Ships within 2–4 business days · M-Pesa on delivery available
Description
Kiguu na Njia ni riwaya ya kijamii kwa Kiswahili. Inamhusu Mtukwao, kijana anayetoroshwa kijijini na familia yake ili kuokoa maisha yake. Baada ya zaidi ya miaka thelathini ya kutangatanga nchini, anaamua kurudi kwao kurekebisha mambo yake, ila hajui kama familia yake bado ipo. Tofauti na riwaya nyingine za Mtobwa, hii haihusu ujasusi bali maisha halisi ya Watanzania wengi.
Language
kiswahili
kiswahili
Publisher
Mkuki na Nyota
Mkuki na Nyota
Genre
Non-fiction
Non-fiction
ISBN
978-9987083831
978-9987083831