Hofu (Harakati za Willy Gamba)
Ksh 600
FORMAT
Print
1
In stock · Ships within 2–4 business days · M-Pesa on delivery available
Description
Hofu (Harakati za Willy Gamba) ni riwaya ya kijasusi kwa Kiswahili. Inasimulia kuhusu mkutano wa wapigania uhuru wa Afrika Kusini unaofanyika Arusha, Tanzania, jambo linalowatia hofu Makaburu, ambao serikali yao inapanga mikakati ya kuusambaratisha. Mpelelezi nguli Willy Gamba, akishirikiana na wapelelezi wa nchi za kusini mwa Afrika, anapambana nao.
Language
kiswahili
kiswahili
Publisher
Mkuki na Nyota
Mkuki na Nyota
Genre
Fiction
Fiction
ISBN
978-9987083275
978-9987083275